UPENDO WA KWELI UNATOKANA NA MUNGU, HII NI KWASABABU MUNGU MWENYEWE NI PENDO..HESHIMA YA KIPEKEE YA MAHUSIANO YOYOTE YALE NI KUHALALISHA NA KUWA RASMI MBELE YA MUNGU NA BINADAMU....SIO KAZI RAHISI KIBINADAMU NA WALA SIO YA KUKURUPUKA HATA KIDOGO, LAKINI KAMA UKIMWAMINI MUNGU LAZIMA UTATIMIZA YOTE UNAYOTAKA KUYATIMIZA.....VIJANA WENGI SANA KWA SASA WAKO KATIKA MICHAKATO YA KUOA NA KUOLEWA NA WENGINE WAMESHAMALIZA NA SASA WANA MAISHA YAO
LEO KIPEKEE TUNAKULETEA PICHA CHACHE TU ZA KUMBUKUMBU YA HARUSI YA MR & MRS LAWRANCE AND WEMA MWANTIMWA ILIYOFUNGWA TAREHE 14TH APRIL 2013 PALE CITY HARVEST NA HATIMAYE TAFRIJA KUFANYIKA KATIKA BUSTANI YA MAKUMBUSHO YA JIJINI DAR ES SALAAM...HARUSI HIYO ILIYOKUWA YA KIPEKEE SANA CHINI YA MWENYEKITI NOEL TENGA NA KAMATI YAKE NA MAANDALIZI NA KUENDESHWA NA MA-MC SAMUEL SASALI PAMOJA NTOKE BABU, BASI HIZI NI PICHA CHACHE TU ZA HARUSI HIYO!!
NA WEWE ZIKUTIE HAMASA ILI UJIFUNZE NINI MAANA YA UPENDO WA KWELI NA HESHIMA YA KUOA ....KARIBU SANA!!!
SIKU LAWRANCE ALIPOMVIKA WEMA PETE YA UCHUMBA KATIKA KANISA LA CITY HARVEST,JIJINI DAR ES SALAAM!
|
MAHARUSI,WASIMAMIZI NA WAPAMBE WOTE |
|
ULICHEZWA SANA UKUTI UKUTI WA KICHAGA |
NA HII PICHA YA PAMOJA YA WAPAMBE WA KIKE
|
SAFARI YA MAISHA NDIO IMEANZA NA FUTURE NDIO ILEEEEE.... |
|
Safi saaaana |
|
Lawrance akimlisha mkewe. |
|
Wema akimlisha Mumewe |
|
MR & MRS LAWRANCE AND WEMA MWANTIMWA |
KWA NIABA YA UONGOZI NA WAFANYAKAZI WOTE WA BLOG HII (QUALITY-LOVE BASE), NINAWATAKIENI MAISHA MEMA, MAZURI YENYE BARAKA TELE ZA NDOA, SAWASAWA NA MLIVYOPENDANA NA KUAPIANA KANISANI MBELE YA MUNGU NA WANADAMU, BASI UPENDO KATI YENU UZIDI KUIMARIKA KILA SIKU,AMEN!
Hotline;
+255 713 883 797
No comments:
Post a Comment