#HII NI ZAIDI YA MUHIMU>>>
Mambo
ya mahusiano yana changamoto zake,zipo zisizokwepeka kirahisi kutokana
na utofauti wa makuzi na uelewa lakini nyingi ni kutokana na ujinga tu
wa wahusika,aitha kwa kujua ama kutokujua ama kwa kugoma kujua...leo
nina jambo moja toka moyoni mwangu,na yamkini hata wewe linakugusa sana!
.....IKITOKEA MTU(HUSUSANI KIJANA WA KIUME) AMEKUPENDA AU AMEKUONYESHA HISIA ZA UPENDO
AMA AMEKUOMBA URAFIKI/UCHUMBA WEWE BINTI/MSICHANA AKIWA NA NIA THABITI
YA KUKUOA NA KWA HAKIKA UMEELEWA KUWA ANAMAANISHA NA BADO UNAMFANYIA
VITUKO,MBWEMBWE,MATESO NA USUMBUFU USIO NA MSINGI,HALI MOYONI MWAKO
UNAJUA KABISA NI MUDA WAKO WA KUOLEWA NA HAKUNA KIJANA MWINGINE
ALIYEMAANISHA KAMA HUYO NA INASHANGAZA KUONA SABABU ZINAZOKUKWAMISHA
KUAMUA HARAKA NI LABDA KAZI,MUONEKANO AMA HANA GARI YA
KUTEMBELEA....CHUNGA SANA,MAANA UVUMILIVU UNA KIKOMO,USIJE UKAJIONA KAMA
WEWE NDIO KILA KITU DUNIANI NA HUYO HAWEZI KUPATA MWINGINE,NI USHAURI
WANGU TU KWAKO KUSOMA VEMA NYAKATI,USIJE UKASHANGAA MSIMU WAKO UMEPITA
NA UKABAKI NA MAUMIVU!!
#NA JAMBO LA MUHIMU,SEMA UKWELI WAKO KWAKE
KAMA HUMPENDI AJUE ANATAFUTA KWINGINE NA SIO KUMWEKA PENDING ILI
UENDELEE KU-COMPARE HUYU NA YULE!!
Angalia SUBIRA YAKO ISIJE KUKUPONZA na usije kataa PIPI kwa karanga za kuonja!!
AHSANTE SANA,NI HILO TU KWA LEO!!
No comments:
Post a Comment